1/11
Mauzo screenshot 0
Mauzo screenshot 1
Mauzo screenshot 2
Mauzo screenshot 3
Mauzo screenshot 4
Mauzo screenshot 5
Mauzo screenshot 6
Mauzo screenshot 7
Mauzo screenshot 8
Mauzo screenshot 9
Mauzo screenshot 10
Mauzo Icon

Mauzo

diioTZ Labs
Trustable Ranking Icon
1K+Pobrania
10.5MBRozmiar
Android Version Icon4.4 - 4.4.4+
Wersja na Androida
1.5.2(12-06-2021)
-
(0 Recenzje)
Age ratingPEGI-3
Pobierz
SzczegółyRecenzjeInfo
1/11

Opis Mauzo

Mauzo App ni application inayotumika kutunza taarifa za Mauzo na Matumizi. Itakusaidia kujua kama biashara yako inatengeneza faida.

Hutumika katiika biashara ndogo na za kati zinazojiusisha na kununua na kuuza bidhaa, kutengeneza na kuuza bidhaa au kutoa huduma

Hauitaji kuwa na Intaneti (inatumika offline). Intaneti inatumika wakati wa kujisajili na wakati wa kufanya Backup.

Taarifa (data) zako zinatunzwa kwenye simu yako tu. Hakuna mtu anaweza kuziona zaidi yako wewe.

Mauzo - Wersja 1.5.2

(12-06-2021)
Co nowegoTumefanya mabolesho makubwa katika app hii ili kuendana na mahitaji ya wateja wetu. Miongoni mwa maboresho yaliyofanyika ni pamoja na;-1. Kurekebisha fomu ya kusajili bidhaa,2. Kuboresha fomu ya kurekebisha taarifa za bidhaa,3. Kuongeza kipengele cha Mapato,4. Kuongeza kipengele cha Matumizi,5. Kuboresha Dashboard,6. Kuongeza Refresh kwenye Dashboard na Bidhaa,7. Kuboresha fomu ya Kujisajili na8. Kuboresha fomu ya kusajili mauzo.Endelea kufurahia huduma hii. Asante!

Nie ma jeszcze żadnych recenzji ani ocen! Aby napisać pierwszą

-
0 Reviews
5
4
3
2
1

Mauzo - Informacje APK

Wersja APK: 1.5.2Pakiet: com.ionicframework.Mauzo184307
Kompatybilność Android: 4.4 - 4.4.4+ (KitKat)
Deweloper:diioTZ LabsPolityka Prywatności:http://www.smartexam.co.tz/proj/diiotz/Mauzo/privacyUprawnienia:3
Nazwa: MauzoRozmiar: 10.5 MBPobrania: 0Wersja : 1.5.2Data Wydania: 2022-09-12 05:31:26Min. Ekran: SMALLObsługiwane CPU: x86, x86-64, armeabi, armeabi-v7a, arm64-v8a
Identyfikator pakietu: com.ionicframework.Mauzo184307Podpis SHA1: 51:45:FA:94:A9:E4:84:D6:A2:52:84:64:F4:E5:4E:A5:E9:4F:F8:02Deweloper (CN): AndroidOrganizacja (O): Google Inc.Miejsce (L): Mountain ViewKraj (C): USStan / Miasto (ST): CaliforniaIdentyfikator pakietu: com.ionicframework.Mauzo184307Podpis SHA1: 51:45:FA:94:A9:E4:84:D6:A2:52:84:64:F4:E5:4E:A5:E9:4F:F8:02Deweloper (CN): AndroidOrganizacja (O): Google Inc.Miejsce (L): Mountain ViewKraj (C): USStan / Miasto (ST): California